Fly boy mabawa-Tungi歌曲免费下载

《Fly boy mabawa-Tungi》歌曲详情

作曲 : Francis msongo

Sometimes unanitoaga stress

Sometimes unanipelekaga kasi

Wewe ndio mpenzi ninaekuona kwenye glass

Nikiamka na hang over, uwaga nina apa

Staki tena tungi

Ila niikiona chupa, kiapo nakifuta

Waiter leta tungi

Ningewezaje, maisha haya bila tungi, ningeishije

Muziki huu bila tungi ningeuchezajee

(ayaya ayaya) ningeuimbaje

Ooh nanana nanana nanana

Niko maji niko keroroo

Kazi nipumzishe nataka ku enjoy leo

Mapenzi nipumzishe nataka kufurahi leo

Nataka nilewe nisaahau madeni

Nikishalewa nakua sina madeni

Najiona boss mimi

Kunywa maji kunywa kunywa maji shida nini

Nikilewa nakua niko single bebe yupo home

Nikiona pisi nakua niko single ex anafaham nikilewa nakua mtamu simalizi game, nikinywa kitu kali

Nakunja sura, ata mbuzi anayo tuone chura

Mhmm mhm mhmmmm

Nikiamka na hang over, uwaga nina apa

Staki tena tungi

Ila niikiona chupa, kiapo nakifuta

Waiter leta tungi

Ningewezaje, maisha haya bila tungi, ningeishije

Muziki huu bila tungi

(ayaya ayaya) ningeuimbaje

Ooh nanana nanana nanana

Niko maji niko keroroo

Shemu kataka beer nikampa bracket juu ya backet

Mara shem anataka kwenda getto, kwa mkapa

Wakati hatoki mtu kwa mkapa, shem anautaka,

Tukikamatwa sio mimi ni pombe

Nikishalewa najiona boss nafuga chawa

Nikilewa najiona michael jackson

Ninacheza moon walk

Nikilewa najiona tyson

Usinichokoze utapasuka

Nikilewa najielewa ongeza beer sijalewa

Sometimes unanitoaga stress

Sometimes unanipelekaga kasi

Wewe ndio mpenzi ninaekuona kwenye glass

下载地址:

此为隐藏内容,需人机验证后查看下载!